Search This Blog

Sunday, August 26, 2012

KIPAJI KUTOKA DODOMA

image

Huyu ni Godfrey Kato aka Jamaa aliyeongoza kwa swagga kwenye usaili Dodoma! Ana miaka 20 na amehitimu kidato cha sita. Godfrey alituambia kuwa "Music is my life" yaani "Muziki ni maisha yake". Amekuja EpiqBSS kujifunza na kujiendeleza kimuziki. Endelea kumfuatilia kujua kama ataweza kufuzu kuingia 20 bora.